Kama wenye kazi tunaishi hivi, ambao hawana hivi wanaishije???

Kama wenye kazi tunaishi hivi, ambao hawana hivi wanaishije???

Utakuwa una kibabyface kinakunyonya Damu
 
Nataka nifikie hatua ya mishahara ya miezi kadhaa ikutane...

Wa mwezi uliopita na mwezi huu itakutana!!

Kama huna bajeti jua umaskini utakumaliza!!
 
Kuna financial security na kuna financial freedom!

Employees mna kazi
 
Wachaa waisome naniieee , ccm mberee kwaa mbereee,
Tumeipendaaa wenyewee chaguo retuu wenyewee
 
Aisi tusio na kaz ndo tunawahurumia nyie mnaopanda magari kila siku na kula nje, hamjipikii
 
Najiuliza tu hapa kama nina kazi na mshahara haumalizi hata mwez na sina majukum kiviiiile, hivi ambao hawana kaz kabisa wanaoshijeeee

Au ni mimi tu na matumiz yangu!!!
God is good all the time,kama ndege hawafanyi kazi lakini wanakula iweje hashindwe kumpa ridhiki kiumbe alichoumba kwa mfano wake? Nakushauri manage kipato chako,tumia kulingana kipato usitanue upaja wakati msuli mdogo.

Wazazi wetu wametulea kwa biashara na misingi penenge,kama unapata kwa mwezi laki na 50 ishi kikilo na nusu maisha yataenda,kama management ya pesa ni ndogo hata ukilipwa 4m kwa mwezi utaona ni ndogo.
 
Kweli kabisa!!!
 
Back
Top Bottom