Kama wewe 'Bikra',kutana na wenzio hapa.

Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
Wakali wa izi Kazi [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Lahaula [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] hadi masikio?!!!
Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
 
Mimi ninayo!
 
Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
Eti nini mbona sijaelewa vizuri.Mkuu zote zimeshatumika?
 
Wewe ni Bikra?
 
Hakuna bikra mwenye smartphone. Mabikra ni watoto wanaoshinda day care centers. Sikuizi hata nursery school bikra ni za kuhesabu. Watoto wanaharibiwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya nani kuna watu akili zao wanazijua wenyewe. Nimecheka mpaka nikajikuta sasa ninajicheka mwenyewe. Mabinti wengine smartphone hununuliwa na wazazi wao kama basic needs mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja kukutana na mabikra wenzangu. Habari zenu wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…