Kama wewe 'Bikra',kutana na wenzio hapa.

Kama wewe 'Bikra',kutana na wenzio hapa.

Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
Wakali wa izi Kazi [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Lahaula [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] hadi masikio?!!!
Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
 
Wakuu,

kama wewe ni mwanamume bikra au mwanamke bikra, comment chochote hapa kujivunia bikra yako hapa. Ila utambue kwamba, Virginity is not dignity, its just lack of an opportunity.

wale ambao tulishapoteza virginity zetu, tuseme angalau neno kama tuna feel vipi kupoteza bikra zetu na tulitolewa/tulitoa tukiwa na umri gani...binafsi, nafeel proud kwasababu niliitoa bikra yangu nikiwa na umri wa miaka 20 na nilikula mdogo wake mwalimu aliyekua amejitolea kunifundisha tuition jioni. Dada huyo alikua kanizidi umri kama miaka mitatu hivi kwaiyo mambo alikuwa akuwa anayajua kweli kweli..Nilijihisi kupagawa kwa utamu hiyo siku.
Mimi ninayo!
 
Kabla ya yote unaulizia bikra ya wapi kwanza?? Maana wengine tumebakiza bikra za matundu ya pua tu?? mwili wote ni used Kwahiyo swali lako fafanua vizur.
Eti nini mbona sijaelewa vizuri.Mkuu zote zimeshatumika?
 
Bikra zipo na sio because of luck of opportunities...watu wana hofu na M/Mungu na wamepata maadili mema kutoka kwa wazazi wao...

Narudia bikra zipo,zipo zipooo tena za vyuo vikuu sio secondary..

Pambaneni na hali zenu za kukutana na wanawake walioanza uhuni mapema..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Bikra?
 
Hakuna bikra mwenye smartphone. Mabikra ni watoto wanaoshinda day care centers. Sikuizi hata nursery school bikra ni za kuhesabu. Watoto wanaharibiwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya nani kuna watu akili zao wanazijua wenyewe. Nimecheka mpaka nikajikuta sasa ninajicheka mwenyewe. Mabinti wengine smartphone hununuliwa na wazazi wao kama basic needs mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom