Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wakuu,
kama wewe ni mwanamume bikra au mwanamke bikra, comment chochote hapa kujivunia bikra yako hapa. Ila utambue kwamba, Virginity is not dignity, its just lack of an opportunity.
wale ambao tulishapoteza virginity zetu, tuseme angalau neno kama tuna feel vipi kupoteza bikra zetu na tulitolewa/tulitoa tukiwa na umri gani...binafsi, nafeel proud kwasababu niliitoa bikra yangu nikiwa na umri wa miaka 20 na nilikula mdogo wake mwalimu aliyekua amejitolea kunifundisha tuition jioni. Dada huyo alikua kanizidi umri kama miaka mitatu hivi kwaiyo mambo alikuwa akuwa anayajua kweli kweli..Nilijihisi kupagawa kwa utamu hiyo siku.