ndani ya daladala toka K/koo kwenda Kimara, lilipofika Manzese konda akauliza;
Konda: kuna mtu anashuka?
Mrembo akajibu: Tumeyacha nyumbani, hapa tuna mitandio tu!!
Kufika Ubungo Maziwa, yule dada aliyeleta nyodo akawa ashuka.
Mrembo: Konda nashuka maziwa.
Konda: Kayanunulie SIDIRIA yasishuke!!!:rapture: