Kama wewe ndo baba utafanya nini?

Kama wewe ndo baba utafanya nini?

hernanes96

Member
Joined
May 2, 2015
Posts
16
Reaction score
6
Baba; hivi juma mwanangu,pindi ninapokupa kichapo kikali hasira zako unamalizia wapi?

Juma; huwa nachukua mswaki wako nasugulia chooni!!

Ungekua baba ndo wewe ungefanya nini?
 
Back
Top Bottom