Wewe hujui hata Mbinu za shetani, huo mdoli ni kijani kama wewe.Ni kwel kabisa. Hizo nii mbinu za shetani
Haikuwa na kinundu hapo katikati ya miguuni maisha tu yamebadilika, sisi tumecheza sana na mddoli hiyo. na kulikuwa hakuna tatizo. UTANDAWAZI ndio umeleta kila kitu, sio tatizo la mdoli!
Ni kwel kabisa. Hizo nii mbinu za shetani
Kumbe na wewe unamjua shetaniNi kwel kabisa. Hizo nii mbinu za shetani
Tayari Mshana Jr ameweka link pitia ufunue ubongoKuna muvi niliiangalia kuhusu hii midoli inausishwa sana na uchawi ni kweli wakuu au ni mambo ya maigizo tu wataalamu wa mambo tupeni ufafanuzi tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndugu mshana ebu tupe ufafanuz wako hii midol nimewah ona kwenye movie inatumiwa sn na wachaw na majin huwa wanakaa ndan ya midoli usiku mkilala wanaamka na kukinukisha je haya mambo yapo au ni movie tuKumbe na wewe unamjua shetani
....Sinema ni Tafakuri ya Binadamu kuhusu Yajayo, Yaliyopo na Yatakayokuja....!Kuna muvi niliiangalia kuhusu hii midoli inausishwa sana na uchawi ni kweli wakuu au ni mambo ya maigizo tu wataalamu wa mambo tupeni ufafanuzi tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ila haikua na hiko kimkia hapo mbele na tulijua mipaka,watoto w kike na midoli yao na kiume ilikua ni vigali vikibeba mchanga n.kNi maisha tu yamebadilika, sisi tumecheza sana na midoli hiyo na kulikuwa hakuna tatizo. UTANDAWAZI ndio umeleta kila kitu, sio tatizo la mdoli!
Mkuu we niwajuzii....sikipindi tunakua haikuepo hiyo midoli,nakumbukaa dada zangu walikuwa wanasonewa midoli ya matambaraa na sisi wa kiume tulikua tunatengeneza magari ya bati au bosi matairi Ni ndalaaNi maisha tu yamebadilika, sisi tumecheza sana na midoli hiyo na kulikuwa hakuna tatizo. UTANDAWAZI ndio umeleta kila kitu, sio tatizo la mdoli!
Soma hiyo mada yangu ni kama nimeshakuona upoNdugu mshana ebu tupe ufafanuz wako hii midol nimewah ona kwenye movie inatumiwa sn na wachaw na majin huwa wanakaa ndan ya midoli usiku mkilala wanaamka na kukinukisha je haya mambo yapo au ni movie tu
Hiyo ndo maana yaoKadoli ka kike lakini kana machine ya kiume mammee zao wasije fanya watoto wapende mambo ya kike kike