Hapo wanalazimisha mambo ya LGBT katika fikra za mtoto.Kuzalisha kizazi kama hicho kinahitaji will power tu sio uchawiKadoli ka kike lakini kana machine ya kiume mammee zao wasije fanya watoto wapende mambo ya kike kike
Ni kwel kabisa. Hizo nii mbinu za shetani
Hatari sana hawa viumbe wana mbinu nyingi twapaswa tuongeze umakini katika malezi ya wanetuHapo wanalazimisha mambo ya LGBT katika fikra za mtoto.Kuzalisha kizazi kama hicho kinahitaji will power tu sio uchawi
Watoto wa kiafrika wana akili kuliko wa kizungu,tatizo Africa ni mazingira na lishe duni hasa viporo.Hii midoli ni ya kawaida tu na haina tatizo lolote. Mbona wazungu mitoto yao inachezea na bado ina akili kushinda mitoto ya afrika?
Watoto wa kiafrika wana akili kuliko wa kizungu,tatizo Africa ni mazingira na lishe duni hasa viporo.
Weeee Annabelle, Robert doll, na Peggy's doll, hizi zote ni zakwel sio uongo ata movie zake matukio walio igiza yalitokea kweli had sasa imehifadhiwa kwaajir ya usalama....Sinema ni Tafakuri ya Binadamu kuhusu Yajayo, Yaliyopo na Yatakayokuja....!
Wanataka watoto wetu akili zao zijengeke kuwa swala la transgender na ushoga nilakawaida katika jamii.Kadoli ka kike lakini kana machine ya kiume mammee zao wasije fanya watoto wapende mambo ya kike kike