Kama wewe ni daktari wa magonjwa ya afya ya akili jitokeze tafadhali

Kama wewe ni daktari wa magonjwa ya afya ya akili jitokeze tafadhali

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF,

Msinichoke na mada zangu za afya ya akili…lol

Ila humu ndani kama mmeobserve wengi sana tunahitaji msaada…

Mada za watu kutaka kujiua zimekua nyingi sana.

Hivyo basi ningependa kutoa wito,

Kwa madaktari wa afya ya akili kuja foward…

Currently Dr. Wansegamila nimeona ndio anasadia...

Najua mko wengi, as udakatri ni wito tungependa kuwaona mkijitokeza kutusaidia watanzania wenzenu..

Ingependeza tujue ID zenu..ili mtu akiwa ana tatizo..anakuja moja kwa moja kwenu na sio kutoa topic ambayo wengine wako insenstive na magonjwa ya akili wanajibu wanavyojiskia wakati mtu anaumwa na he/she is clearly crying for help....

Sio Psychiatrist tu, bali ingependeza kama kuna counsellors, Therapists, Psychologist na wengineo..wakitoa msaada.
 
Madaktari wapo wengi tu, Hilo ni tatizo kubwa kuliko unavyofikiri, magerezani, mahabusu, mitaani n.k., ni tatizo nilohitaji serikali ndiyo ichukue hatua, humu JF utatulaumu bure tu

Mnhh kutuma PM kwa mgonjwa ni swala linalohitaji serikali?
 
Naunga mkono. Yanayoendelea Humu ni tatizo kubwa smbalo liko Pia Katika Jamie yetu. Fikiria wale wanaopitia Hali huyo huko mitaani na Sio member humu.
Inafika wakati nikitaka kutembelea jukwaa hili, nategemea kukutana na nyuzi zenye maudhui ya kukata Tamaa na hata kutaka kujiua.
Kingine kinachojitokeza ni udhifu wa kijamii, watu hatuko pamoja kuzungumza na kushiriki mambo ya kijamii na badala yake tumejenga udugu na mitandao ya kijamii zaidi kwa kuwa na marafiki wa mbali huku jirani yako au ndugu yako hujui ameamkaje.
 
Watu wenye shida ya Akili...waende kwa wataalamu katika hospital watapata msaada wasiishie kwenda kuombewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesema ukweli, kukimbilia to faith healers ni sababu hakuna awareness ya mambo haya,ila kama kuna wataalam humu ingependeza wasaidie kama wanaona mtu anahitaji msaada Zaidi then wanamwambia tu huyo mtu njoo sehemu Fulani kwa msaada Zaidi au anafanya referral kwa mtu mwingine ambapo huyo mtu atapata msaada zaidi
 
Ni tatizo linalohitaji Sera na utekeleza wa kitaifa, wagonjwa ni wengi mno, wao wamejikita kujenga theater za upasuaji na wodi za wazazi

Tupige kelele mkuu,labda wizara ya afya wataamka kwenye huo usingizi,mwenyewe Ummy Mwalimu waziri wa Afya alisema 1/4 sijui 1/8 ya watu wote Tanzania ni wagonjwa wa mambo ya akili,sasa kuna utitiri wa hospitali za kawaida na sio hospitali za mambo ya akili highlighting kuna tatizo la kimfumo..
 
Watu wamesema mpaka wamechoka, wao wamekazania kujenga matheatre ya upasuaji wa moyo na magonjwa mengine yanayotibu mgonjwa mmoja mmoja tu, nenda huko magerezani na uswahilini ndiyo utajua kwa nini madaktari wengi hatuipendi CCM, wanaangalia kura tu, hawajali afya ya akili ya watanzania
 
Na endapo jamii itapunguza unyanyapaa juu ya hizi shida watajitokeza wengi kutaka msaada ambao awali walikuwa wanaogopa kusema. Shida za afya ya akili huanzia mbali, labda kukiwa na elimu juu ya viashiria vya awali huenda ukawa msaada mkubwa kuepuka tatizo kuwa kubwa zaidi.
 
Hello JF,

Msinichoke na mada zangu za afya ya akili…lol

Ila humu ndani kama mmeobserve wengi sana tunahitaji msaada…

Mada za watu kutaka kujiua zimekua nyingi sana..

Hivyo basi ningependa kutoa wito,

Kwa madaktari wa afya ya akili kuja foward…

Currently Dr. Wansegamila nimeona ndio anasadia...

Najua mko wengi, as udakatri ni wito tungependa kuwaona mkijitokeza kutusaidia watanzania wenzenu..

Ingependeza tujue ID zenu..ili mtu akiwa ana tatizo..anakuja moja kwa moja kwenu na sio kutoa topic ambayo wengine wako insenstive na magonjwa ya akili wanajibu wanavyojiskia wakati mtu anaumwa na he/she is clearly crying for help....

Sio Psychiatrist tu,bali ingependeza kama kuna counsellors,Therapists,Psychologist na wengineo..wakitoa msaada.
Mkuu Mimi ni
Therapist ila na deal zaidi na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom