Madaktari wapo wengi tu, Hilo ni tatizo kubwa kuliko unavyofikiri, magerezani, mahabusu, mitaani n.k., ni tatizo nilohitaji serikali ndiyo ichukue hatua, humu JF utatulaumu bure tu
Ni tatizo linalohitaji Sera na utekeleza wa kitaifa, wagonjwa ni wengi mno, wao wamejikita kujenga theater za upasuaji na wodi za wazaziMnhh kutuma PM kwa mgonjwa ni swala linalohitaji serikali?
Watu wenye shida ya Akili...waende kwa wataalamu katika hospital watapata msaada wasiishie kwenda kuombewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tatizo linalohitaji Sera na utekeleza wa kitaifa, wagonjwa ni wengi mno, wao wamejikita kujenga theater za upasuaji na wodi za wazazi
Watu wamesema mpaka wamechoka, wao wamekazania kujenga matheatre ya upasuaji wa moyo na magonjwa mengine yanayotibu mgonjwa mmoja mmoja tu, nenda huko magerezani na uswahilini ndiyo utajua kwa nini madaktari wengi hatuipendi CCM, wanaangalia kura tu, hawajali afya ya akili ya watanzaniaTupige kelele mkuu,labda wizara ya afya wataamka kwenye huo usingizi,mwenyewe Ummy Mwalimu waziri wa Afya alisema 1/4 sijui 1/8 ya watu wote Tanzania ni wagonjwa wa mambo ya akili,sasa kuna utitiri wa hospitali za kawaida na sio hospitali za mambo ya akili highlighting kuna tatizo la kimfumo..
Mkuu Mimi niHello JF,
Msinichoke na mada zangu za afya ya akili…lol
Ila humu ndani kama mmeobserve wengi sana tunahitaji msaada…
Mada za watu kutaka kujiua zimekua nyingi sana..
Hivyo basi ningependa kutoa wito,
Kwa madaktari wa afya ya akili kuja foward…
Currently Dr. Wansegamila nimeona ndio anasadia...
Najua mko wengi, as udakatri ni wito tungependa kuwaona mkijitokeza kutusaidia watanzania wenzenu..
Ingependeza tujue ID zenu..ili mtu akiwa ana tatizo..anakuja moja kwa moja kwenu na sio kutoa topic ambayo wengine wako insenstive na magonjwa ya akili wanajibu wanavyojiskia wakati mtu anaumwa na he/she is clearly crying for help....
Sio Psychiatrist tu,bali ingependeza kama kuna counsellors,Therapists,Psychologist na wengineo..wakitoa msaada.