Mkuu me nina imani kati ya facebook au twitter lazima utakuepo basi search hi kampuni katika facebook Beach born company Ltd. (like) Na twitter follow beach born company Ltd. mwenyewe ujionee mi sitaki niguongopee..
Hi ni kampuni inayochipukia ya kitanzania inayomilikiwa na Watanzania tena vijana wa umri wetu kabisa.
KUHUSU KAMPUNI
Kampuni hii inahusika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa mbali mbali za vyakula na vyengnevyo..
MALENGO YA KAMPUNI
Nikutoa bidhaa na huduma bora kwa wateja kwa kiwango kinacho stahili
MIPANGO YA KAMPUNI
Nikua miongoni mwa kampuni za Kitanzania zinzotoa ushindani mkubwa katika uzalishaji na utoaji wa huduma za chakula hapa nchini
Sasa kama kijana kampuni inhitaji ushirikiano wenu nyote na ili tuweze kufanyikisha hili ndo mamana nikatoa hizo link.