Kama wewe ni [Mbongo] Mtanzania na unapenda kilicho cha nyumbani kwako

Kama wewe ni [Mbongo] Mtanzania na unapenda kilicho cha nyumbani kwako

mkuu wengine computer zetu hazikubali redirection.
Mwaga nyuki hapa hapa tule asali.
Sawaaaaaa.............????????????
 
Mkuu me nina imani kati ya facebook au twitter lazima utakuepo basi search hi kampuni katika facebook Beach born company Ltd. (like) Na twitter follow beach born company Ltd. mwenyewe ujionee mi sitaki niguongopee..
 
Last edited by a moderator:
Weka details hapa.

Acha uswahili mwingi....Jiamini wewe.
 
Sawa ngoja niwajuze

Hi ni kampuni inayochipukia ya kitanzania inayomilikiwa na Watanzania tena vijana wa umri wetu kabisa.

KUHUSU KAMPUNI

Kampuni hii inahusika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa mbali mbali za vyakula na vyengnevyo..
MALENGO YA KAMPUNI
Nikutoa bidhaa na huduma bora kwa wateja kwa kiwango kinacho stahili

MIPANGO YA KAMPUNI
Nikua miongoni mwa kampuni za Kitanzania zinzotoa ushindani mkubwa katika uzalishaji na utoaji wa huduma za chakula hapa nchini

Sasa kama kijana kampuni inhitaji ushirikiano wenu nyote na ili tuweze kufanyikisha hili ndo mamana nikatoa hizo link.
 
Back
Top Bottom