G
Sio kweli Kuna watu Hawana waganga na wametoboa● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
Sahihi kabisa!mimi ni half mkinga, pia mimi nilifikiri ni ndumba, sasa nakupa fact kuhusu success za wakinga, na wengi si wasomi,
KAMA NI "NDUMBA" hii lazima itakuwa ni kama "magic business consultancy" ambayo kila mtu anaweza kuinunua, kwanini wengine wanashindwa kuilipia hiyo teknolojia ya NDUMBA kama kweli ipo??
- WAKINGA WANA NIDHAMU YA KUPITILIZA
- WAKINGA HWABADILISHI MATUMIZI i.e PROFIT REALLOCATION kwa mambo mengine
- matumizi yao ni basic na wako focused kutunza profit na ku re-invest
- kanuni zao ni kama za wahindi ila wao wako radical zaidi
- wana true networking amongst them, na hii ni mtaji pia Ikitokea umeanguka, badala ya kukopa benki kwa riba, wwao wanapeana mitaji bila riba
Sio kweli, sio woteUnauhakika gani uliwahi kuwauliza? Biashara ni siri hata huku makanisani wanatumia ndumba
Sahihi kabisamimi ni half mkinga, pia mimi nilifikiri ni ndumba, sasa nakupa fact kuhusu success za wakinga, na wengi si wasomi,
KAMA NI "NDUMBA" hii lazima itakuwa ni kama "magic business consultancy" ambayo kila mtu anaweza kuinunua, kwanini wengine wanashindwa kuilipia hiyo teknolojia ya NDUMBA kama kweli ipo??
- WAKINGA WANA NIDHAMU YA KUPITILIZA
- WAKINGA HWABADILISHI MATUMIZI i.e PROFIT REALLOCATION kwa mambo mengine
- matumizi yao ni basic na wako focused kutunza profit na ku re-invest
- kanuni zao ni kama za wahindi ila wao wako radical zaidi
- wana true networking amongst them, na hii ni mtaji pia Ikitokea umeanguka, badala ya kukopa benki kwa riba, wwao wanapeana mitaji bila riba
Kwani vyupi sio biashara?!!Unafanya biashara gani ? Usikute ya kyupi 🤣🤣
a naYa wadada hio mimisiwezi🤣🤣
kama unaamini ndumba ktk mafanikio ya biashara, utaendelea kuwa mtazamaji wa mafaniko ya watu, na nai amekunyima kununua hizo ndumba kama zipo???Unauhakika gani uliwahi kuwauliza? Biashara ni siri hata huku makanisani wanatumia ndumba
Badala ulete mawazo ya uvumbuzi wewe unafanya kazi ya kuua skills za watu● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
mimi ni half kinga, nimeona succesful guys pamoja na ndugu zangu, na wote hawatumii ndumba, na wanasema wao wanapenda watu waendelee kuamini hiyo ili waendelee ku dominate game, ni kitu wanakipromote qetly ili watu waogope 😀, you mean utajiri sahihi ni wa WACHAGA, WAHAYA, WAPEMBA, WAHINDI, WANASIASA, CHINES na FOREIGNERS eg KENYANS ila wakinga ni NDUMBA, hii ni ignorance & skepticim mbaya kuliko saratani.Mkuu hao wakinga ni balaa nawafahamu vizuri sana kwaio ninachokiandika sibahatishi
wa-PEMBA na WAHINDI walipoikama kariakoo ilikuwa ni watu sahihi, Mtikila aliwaita ni MAGABACHORI. kwa wazawa waTanzania wanaona mkinga kuwazidi WAHINDI na WAPEMBA (Superior beings) lazima iwe ni NDUMBA, Huu ujinga ni ethnocentrism, or tribal hatred😡Kumbuka wakinga wameikamata kariakoo!...kwa hiyo pale hamna ndumba siyo?
Ht ingekuwa chupi ni biashara pia ,ht iwe pipiUnafanya biashara gani ? Usikute ya kyupi 🤣🤣
Ukiwa na Yesu popote unatoboa● Njombe