Kama wewe ni mfanyabiashara hii mikoa bila ndumba hutoboi

Kama wewe ni mfanyabiashara hii mikoa bila ndumba hutoboi

Nasikia tu mkubwa.
Okay endelea kusikia hivyo hivyo game ya biashara haitaji uchawi wowote ili utoboe .

Zipo skills za kuuza bidhaa yako ambazo ukizitumia unaondoka from A to B .

Na changamoto huwa hazikosekani kwahiyo mambo yasipokuwa mazuri mwanzoni ni kawaida.

Fatilia utaelewa .

Mimi nipo katika business naelewa Sana haya mambo na kuna watu nimekuwa nikiona wakiroga Ila is nothing kama hauna mikakati mizuri haufiki mbali.
 
Sawa, emu nitajie mtu aliye kwenye biashara ya mabus na hatumii uchawi...
 
Ila inashangaza sana watu wa Njombe na nyanda za juu kwa ujumla ndo wanaongoza kwa kwenda makanisani. Pale Tunduma kulala usiku ni kwa shida kutokana na makanisa ya kilokole yanayokesha. Ila watu hawa ndo vinara wa kwenye uchawi.
Na hao wenye makanisa ndio wachawi wenyewe 😹
 
Mkoa wa pwani ***** huko utoboi kuna chumaulete full kuwangiwa kwenye biashara 😩
 
Kinachouma zaidi unakuta Kuna mfanyabiashara mwenzio anakufanyia huo ufirauni, analeta mzigo unampa pesa taslmu kumbe humohumo zimeenda nyingi,
ukikaa kisabatosabato hata nauli ya kurudi nyumban unakosa
 
Back
Top Bottom