● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara