stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 857 Reaction score 1,810 May 26, 2025 #1 Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 May 26, 2025 #2 Sawa
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 560 Reaction score 756 May 26, 2025 #3 Its very easy
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,786 Reaction score 4,167 May 26, 2025 #4 jackpiano said: Its very easy Click to expand... Mkuu tupe shule iyo chap niweke location ya kibanda umiza changu fasta
jackpiano said: Its very easy Click to expand... Mkuu tupe shule iyo chap niweke location ya kibanda umiza changu fasta
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 560 Reaction score 756 May 27, 2025 #5 G.T.L said: Mkuu tupe shule iyo chap niweke location ya kibanda umiza changu fasta Click to expand... Mtoa mada anataka kupiga pesa mcheki. me kama unataka nifate dm nikuelekeze
G.T.L said: Mkuu tupe shule iyo chap niweke location ya kibanda umiza changu fasta Click to expand... Mtoa mada anataka kupiga pesa mcheki. me kama unataka nifate dm nikuelekeze
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,786 Reaction score 4,167 May 27, 2025 #6 jackpiano said: Mtoa mada anataka kupiga pesa mcheki. me kama unataka nifate dm nikuelekeze Click to expand... Miezi ya kulipa ada hii napigwaje tena kizembe, ngoja nijisalimishe DM mkuu wangu
jackpiano said: Mtoa mada anataka kupiga pesa mcheki. me kama unataka nifate dm nikuelekeze Click to expand... Miezi ya kulipa ada hii napigwaje tena kizembe, ngoja nijisalimishe DM mkuu wangu