Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Your browser is not able to display this video.

Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua Gharama ya uzalishaji kwa Kuku mmoja na Mengineyo mengi yatayokusaida Mfugaji kuongeza faida zaidi

Pakua Fuga App Leo Playstore,Ni Bure Kabsa(Fuga - Apps on Google Play)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…