Kama Wewe Ni Mhenga Pita Hapa Uchukue Zawadi Yako

Yah,zote nime download ila inapiga hiyo moja na inajirudia hata mara 20 ,zingine sizioni kabsa,zinaingia internal,sina ext
Yaani hata ukiuplay wimbo wa msanii mwingine unakuja huo au ni unauona huo tu? Cheki hizo nyimbo kwenye browser unayotumia kudownloadia kama ni app ya jf fungua app ya downloads angalia kama zilimaliza zote
 
Uliposema wahenga nikajua ni nyimbo za 1980's huko, nikaja faster
Nisiongee sana, ila humu kuna Hamisa wa Remmy ambao ameufanyia refix, kuna bonge la sebene. Halafu kuna ile original.

Enjoy
 

Attachments

Bonus hizi hapa
 

Attachments

Nisiongee sana, ila humu kuna Hamisa wa Remmy ambao ameufanyia refix, kuna bonge la sebene. Halafu kuna ile original.

Enjoy
Ewaaaa hapa sasa tunaongea lugha moja
 
Dogo unazingua nyimboo za juzi ndo unatuita wahengaa kwenye uzii......hao wote wameiga kwa sele jabir ambae ndo muazilishi wa bongo fleva alikuwa anatafsiri nyimbo mc humer,chakademas na shabarax. Kipindi hiyo tuna msiliza hevy D,public enemies,not by nature,LL cool j,dabrat,S.W.V(sister with voice)TLC na wengineo.kina remi ongala,vijana jazz,vibao Kama marashi ya karafuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…