Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
- #21
Yaani hata ukiuplay wimbo wa msanii mwingine unakuja huo au ni unauona huo tu? Cheki hizo nyimbo kwenye browser unayotumia kudownloadia kama ni app ya jf fungua app ya downloads angalia kama zilimaliza zoteYah,zote nime download ila inapiga hiyo moja na inajirudia hata mara 20 ,zingine sizioni kabsa,zinaingia internal,sina ext