Kama wewe ni mjanja na umesema hujawahi kuibiwa njoo uone

Sio mtaalamu wa hesabu lakini hapo kimahesabu hiyo inahesabika ni 400gr. Hiyo ni 399.7 na kimahesabu namba ya baada ya desimali inapokuwa zaidi ya 5 basi tunaweza kuikadiria kama namba nzima. Ingelikuwa ni 399.4 basi hapo ndipo tungesema haijatimia.

Nakubali kukoselewa.
 
Wataalamu wa hesabu tunakusahihisha kwa kusema upo sahihi.
 
Soma vizuri, kwenye mzani inasoma 339.7 na sio 399.7 kama ulivyoona.
 
bidhaa nyingi huwa wanaangika kiasi cha uzito kisha neno at packaging linafuata.
mfano net weight 50 kgs at packaging. Na hii huwa ni kwa kujua uzito huwa unapungua kutokana na muda na mahali.
Rejea concept za mass and weight (physics form 1)

sijui mjanja gani hujui weight huwa ina change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…