Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Nyama tunaibiwa sanaaaa tena kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalamu wa hesabu tunakusahihisha kwa kusema upo sahihi.Sio mtaalamu wa hesabu lakini hapo kimahesabu hiyo inahesabika ni 400gr. Hiyo ni 399.7 na kimahesabu namba ya baada ya desimali inapokuwa zaidi ya 5 basi tunaweza kuikadiria kama namba nzima. Ingelikuwa ni 399.4 basi hapo ndipo tungesema haijatimia.
Nakubali kukoselewa.
Soma vizuri, kwenye mzani inasoma 339.7 na sio 399.7 kama ulivyoona.Sio mtaalamu wa hesabu lakini hapo kimahesabu hiyo inahesabika ni 400gr. Hiyo ni 399.7 na kimahesabu namba ya baada ya desimali inapokuwa zaidi ya 5 basi tunaweza kuikadiria kama namba nzima. Ingelikuwa ni 399.4 basi hapo ndipo tungesema haijatimia.
Nakubali kukoselewa.