Mwakawasila
Member
- Oct 23, 2024
- 23
- 20
Mwanangu J yani huyu mama anapika chakula Cha kawaida sana yani
Gey. Sasa si umekipenda na kawaida yake hiyohiyo Mimi huwa siingii kula hapa
J. Siyo kwamba nakipenda na siyo kitamu kuliko Kwa Adelina
Gey. Ehee Mimi huwa nakula Kwa Adelina chakula chake kitamu lakini pia si unajua anatotozi pale
J. Huyu mama chakula chake Cha kawaida lakini mwanangu ni mwepesi sana yani, Hana malingo,na anasikiliza sana wateja Yani
Gey.aahahah Ndo hicho tu kimekupatia limbwata
J. Anajua kucare Yani Hadi najihisi mfalme, kama yupo hivi anacare hivi sijui alipokuwa mbichi alikuwaje
Wakacheka
Gey. Kweli mwanangu(anakunja sura) Adelina hajui kucare na zile pisi zake sijui anajua ndo tunashoboka nazo
J. Sema yule maringo mengi sana sababu ni restaurant ndogo 😄😄
Gey. Mimi mwenyewe nahamia Kwa huyu mama akiboresha tu mahanjumati Adelina hatauza anajiona sana