Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

Ni kweli mkuu, Ni bora apende wine ila muwe mnakunywa pamoja. Sasa unakuta anakwambia napenda wine alfu sasa anakwambia kunywea home sipati vibe [emoji16][emoji16]. Haya mambo magumu sana
 
Ni kweli mkuu, Ni bora apende wine ila muwe mnakunywa pamoja. Sasa unakuta anakwambia napenda wine alfu sasa anakwambia kunywea home sipati vibe [emoji16][emoji16]. Haya mambo magumu sana
bro hata mkiwa mnakunywa pamoja
kuna siku utakua mbali naye tu, life halina guarantee, ukiwa mpambanaji lazma tu utatoka uwe mfanyakaz, mfanya biashara utatoka tu, je hato kunywa hadi utakapo rudi?!, jibu ni hapana hapo ndipo tatzo huanzia
ukute sasa mdada akinywa wine anaanza kuwa na hisia weee
ataigawa kama nn, tena bureeeee
 
Pombe ni one of the factors....!! Lakini kuna mengine mengi tu yanaweza kupekekea kugongewa.. kwa mfano;

1. Huna hela na mijamaa inayomzunguka inazo,

2. Huna proper means ya usafiri.. eg. gari

3. Hupigi show ya kueleweka. Unagegeda Kama unafanya maombi

etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…