KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kikubwa kunywa na kulewa nyumbani...
Ukitoka basi usilewe.,
Ukitoka basi usilewe.,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikwambie mtuu Wine tam[emoji445][emoji444][emoji445]
Kivipi na unanywea kwako?Kwenye wine hapa ndio mke wa mtu analiwa sasa.
Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.
Luth(Lutu) mwenyewe kwenye biblia alifanyishwa tendo la ndoa na binti zake akiwa amelewa hajitambui, Nuhu yeye hata kujitambua kua yupo uchi alishindwa, hata mtoto wake kumuona uchi wake, wewe nani uwe imara kiimani kuwazidi hao watumishi wa Mungu?!
Tena kama mme na mke wote ni wanywaji basi tambua wote ni wazinzi, mbaya zaidi ukute mwanamke ni mpenda wine sana[emoji1430]
Hakuna mwanamke mwenye msimamo duniani, inategemeana na juhudi, uwezo na hali ya mtongozaji. Binafsi siku nikitaka kuoa nitamuomba Mungu sana anipatie Mwanamke asie mlevi.
Uzi tayari
Naanzaje kuacha sasa. Mr mwenyewe ananinunulia na siku nikiacha pombe anaweza kuniacha akatafute anae kunywa.
Mitungiiii blantiiiii mikasiiiii ndo mpango mzima.
Kumbe bado hujaoa,hapo sawa kila mtu apambane kama hutaki mywaji tafta wasokunywa and verse vesa
Kikubwa bia ni tamu,na wine ni zaidi
Na kama hajalewa ndio anaanza kushawishiwaKuna kunywa pombe na kulewa....
bro hata mkiwa mnakunywa pamojaNi kweli mkuu, Ni bora apende wine ila muwe mnakunywa pamoja. Sasa unakuta anakwambia napenda wine alfu sasa anakwambia kunywea home sipati vibe [emoji16][emoji16]. Haya mambo magumu sana
Hizo ni ajali kama zingineVipi kuhusu kuliwa kimasihara masihara [emoji12]
Pombe ni one of the factors....!! Lakini kuna mengine mengi tu yanaweza kupekekea kugongewa.. kwa mfano;Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.