Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Kwanza amekonda....Kakojoe ulale mtoto ubongo hata ukue
Mshangazi hapa njoo tulaleMbon mijombaz hatutafutwi
Wewe hulali
Nije sasahivi au nisubiri umalize kutafutaMshangazi hapa njoo tulale
Anko t anasema maisha haya bila hesabu hutoboi..Wewe hulali
Nakuona uko na anko t
Karibu sana mkuu ila zingatia ivo vigezo apo juuKakojoe ulale mtoto ubongo hata ukue
Kwamba mna usingizi sana mnataka mlale!?Mshangazi hapa njoo tulale
wajuvi wanasema kukonda ni dalili ya memaKwanza amekonda....
Nani kasema wwwajuvi wanasema kukonda ni dalili ya mema
MamboJaman Mashangazi tuna bahati jamani