MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,007
Hili tangazo lako lishaanza kutuboa
Njoo na lingine bwana sifuri
Hili tangazo lako lishaanza kutuboa
Na Uzuri Wenu Kotekote Mnato Na Safii Kabisaa(Sijui Huko Kunako Mnasafishia Tui La Nazi),,Mafundi Haswaa...Ni Chomeka Chuma,,Chomoa Chuma...Jaman Mashangazi tuna bahati jamani
Nikuulize kitu mkuu 😂😂😂🙌Hili tangazo lako lishaanza kutuboa
Njoo na lingine bwana sifuri
Sipo hapa kujibu maswaliNikuulize kitu mkuu 😂😂😂🙌
Hovyo kabisa 😂😂😂Sipo hapa kujibu maswali
😳😇Hee unasema?Uzuri Wenu Kotekote Mnato
Hee! unachom0a uku unachomeka kule??🙄🙆♂️astaghafillulah...Ni Chomeka Chuma,,Chomoa Chuma...
vipi kiongozi?umeguswa?Ila vijana wa siku hizi😁😁
Nimesikitika sanavipi kiongozi?umeguswa?
ndomaana watu wanaingiwa hasira wanachomoa huku👇 na kuchomeka kuleee👉Mashangazi wa siku hizi wanaomba omba sana
umeona eeh??Hatari sana
🙂↕️🙂↕️🙂↕️Kakojoe ulale mtoto ubongo hata ukue
Older women can be exciting, confident, and experienced but sometimes that experience comes with baggage, habits, or emotional walls.Uwe mshangazi halisi sio wa kuchovya
Uwe unajimudu mwenyewe na usiwe mtu wa nyeenyee sio kila siku wewe ni mtu wa kujiliza tu mara niongezee vocha mara gesi imeisha mara nchangie mjombaangu kafa kumbe mjomba ni mzima anadunda zake.
Mengine tutachat bdae