Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Shukrani ππ½ππ½HAKIKA MKUUπ―π―π―π―π―
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani ππ½ππ½HAKIKA MKUUπ―π―π―π―π―
Ulishawahi kufanya biashara ikapata changamoto ikafeli? Ulifanyaje au ndo ukalala baada ya kufeli? Au haujawahi kufanya?ππππ
Endeleeni tu
Motivational speaker anakula hela ya kiingilio weee unarudi kuuza nyumba ya urithi uka bet, kwa kusema kufeli sio kuanguka
ππππ₯³
Yeah napenda sana kufuga na kulima kwa hakika.Haujawahi kusoma uzi wa Thecoder unaitwa dunia uwanja wa vita na hatma???
Basi huko ndiko hatma yako ilipo....papambanie sana kwa nguvu zako zote kama ni nguvu positive or negative zitumie huko.
Mwaka huu ntaanza kuwekeza UTT nione faida yake kwa huu mwakasiku nimehudhuria semina ya UTT ndio nikajua wengi tunaweka pesa bank na bado kuna makato. Wakati kuna soko la fedha kama fixed deposits ama bonds za serikali ambazo zinatoa riba kwa muwekezaji
Kwa hiyo naamini kama mtu hana ujuzi wala udhoefu wa biashara. Aanze mdogo mdogo ili kulijua soko na wateja kabla ya kuwekeza milioni kumi kwa biashara ambayo huijui.
Hivyo ni aidha uanze mdogo mdogo au uwekeze kwenye biashara zenye risk ndogo kama hizo bonds ama kuizika pesa kwenye nyumba au viwanja maana thamani yake inapanda na si kushuka.
Kufeli kupooo mkuu.. Ni watu wachache sana wasiofeli na hawa ni wale ambao unakutaka kasomea kitu kinachoendana na natural abilities zake halafu anaanza na kismati cha kupata watu sahihi katika muda sahihi. Mtu kama huyu huwa hafeli ila anafanya mistakes ndogo ndogoPia sio lazima kufeli.
Na biashara za mazao.Dah sijui kwa nini naamini kwenye kilimo na ufugaji zaidiπ€
Kwa nilioyaona kupitia watu wangu..Dah sijui kwa nini naamini kwenye kilimo na ufugaji zaidiπ€
Nenda kwenye jengo lao sukari house posta. Pale kila siku wana darasa la kujifunza unless kama wamebadilisha utaratibu.Mwaka huu ntaanza kuwekeza UTT nione faida yake kwa huu mwaka
Nitawatafuta vzuri niwafatilie mm npo matakoni mwa nchi kakaNenda kwenye jengo lao sukari house posta. Pale kila siku wana darasa la kujifunza unless kama wamebadilisha utaratibu.
Huko watakupa options nyingi zaidi mkuu. Mimi nilienda Ila maisha yakanipiga ndoige kwa hiyo nikacease kuwekeza pesa huko.
All the best kaka
Yeah kilimo biasharaNa biashara za mazao.
Hakika mkuuKwa nilioyaona kupitia watu wangu..
Kilimo kama una pesa, taarifa na watu sahihi. Hakishindikani kitu maana hata umwagiliaji unaweza kufanya Ila kama unategema mvua na umeingia kichwa kichwa. Unaweza kulia vibaya
But kama unaamini brother. Go for it mkuu
Ahaa sio mbaya.. Piga simu tu na ufuatilie website yao pia..Nitawatafuta vzuri niwafatilie mm npo matakoni mwa nchi kaka
Tatizo hao walio well informed kukupa hizo info kwa whattsap sio rahisi. Kwa hiyo kwenda field muhimu na kama una mtu pia. Inakuwa rahisi zaidiHakika mkuu
Watu wana feli kwa sababu wanajipa taarifa wenyewe kimoyo moyo
Ila hawawi informed economically, risk wise, customer behaviour, mazingira, etc
Kila kitu kinalipa unapokuwa well informed na mtajiπ―π―π―π―π―
Ahaa sio mbaya.. Piga simu tu na ufuatilie website yao pia..
Na humu nakumbuka kuna uzi uliichambua UTT na ndo nilipoiona pia. So tafuta hiyo thread itakusaidia pia
Hii utt mie nataka kuijua kwa ndani zaidi.siku nimehudhuria semina ya UTT ndio nikajua wengi tunaweka pesa bank na bado kuna makato. Wakati kuna soko la fedha kama fixed deposits ama bonds za serikali ambazo zinatoa riba kwa muwekezaji
Kwa hiyo naamini kama mtu hana ujuzi wala udhoefu wa biashara. Aanze mdogo mdogo ili kulijua soko na wateja kabla ya kuwekeza milioni kumi kwa biashara ambayo huijui.
Hivyo ni aidha uanze mdogo mdogo au uwekeze kwenye biashara zenye risk ndogo kama hizo bonds ama kuizika pesa kwenye nyumba au viwanja maana thamani yake inapanda na si kushuka.