Kama wewe ni Muhenga kama mimi tupia msemo wowote wa zamani hapa

Kama wewe ni Muhenga kama mimi tupia msemo wowote wa zamani hapa

Apeche Alolo

Mtama kwa watoto

Manzi

Skonga

Ubeche

Mtu fudenge

Tapeli
 
kwakifupi maneno mengi yalitokana na gazeti la sana especially kwenye section ya kifimbo cheza..

1550815472922.png

1550815965834.png

1550816088814.png

1550815617171.png
 
Back
Top Bottom