Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 576
Nabet saa hizi mechi za wakubwa maana najua timu nyingi zipo uwanjani maana baridi limeongezeka.Mimi nipo kitandani kwangu naona usingizi sipati ngoja nivute kamda
Hongeara sanaa mtumishiiNabet saa hizi mechi za wakubwa maana najua timu nyingi zipo uwanjani maana baridi limeongezeka.
Shukrani sana maana mechi hizi huwa hazichani sana mikeka.Hongeara sanaa mtumishii
[emoji28] [emoji28]Shukrani sana maana mechi hizi huwa hazichani sana mikeka.
Lala tu mama.. Habity atakuwa kashikwaMimi kulala mpaka nipigiwe na simu na habityy ndio nilale
Nikabidhi hutojuta!
!
Usingizi Umekatika. Kuna Boya Mmoja Huko Job Kanizingua. Nachora Plan Ya Kumnyoosha Jumatatu
Haweziii Kaboom nimemshikaa haswaa mauno niliyompa sijawah mpa mwanaume yeyote hii duniaLala tu mama.. Habity atakuwa kashikwa
Wewe ni mwanamke jasiri shupavu imara na mwenye kujiamini nilikuwa nakuchukulia poa lkn umenifunza kitu big up kwakoMimi kulala mpaka nipigiwe na simu na habityy ndio nilale
Hujala muhogo leo eti!Mimi kulala mpaka nipigiwe na simu na habityy ndio nilale
WachaaaaaaaaaaHaweziii Kaboom nimemshikaa haswaa mauno niliyompa sijawah mpa mwanaume yeyote hii dunia