Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

haki me nawaza kifo tuu, mpaka nimeenda kwenye thread ya mshana inayohusu mauti, mbali na kuwa shocked na kifo cha Aggy, mwaka huu mwezi wa pili tumepata msiba mkubwa wa ndugu yetu, tena alikuwa member mzuri jf! bado siamini...kuna saa huwa nataka huwa naona kama ananipigia simu.
 
Mh jama naona mnaowaza vifo mnaongezeka,ngoja mi nilale tu maana nisije na mm nikaanza kuwaza bure nikaota nakufa,kwaherini wakuu na kubeti mechi za wakubwa nimeacha kabisa.Usiku mwema nyooooooote.
 
Mimi nipo macho nabeba box mida hii,ila huku nilipo sasa hivi ni saa 23:16 bado haijafika saa 6 usiku kama ulivyouliza.
 
IMG_ppgymx.jpg
 
Back
Top Bottom