Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

Nasema hivii natafakari kifo cha masogange aliyekufa na utamu wake wakti nilikuw kwenye plan za kumuomba mzigo na asingekataa
 
Grocery ya hapa kwa kina Apronia wamefunga mapema, imebidi nisogee huku kwa kina Neema nako wanasema saa kumi wanafunga, aah sijui nahamia wapi sasa wakifunga.

Ngoja niongee na manager kama vipi wahesabu stock wanifungie ndani, kesho tutahesabu zimebaki ngapi nilipe nilizokunywa.
 
Nipo hapa muda huu nimeingia Xvideos.com napakua mizigo mipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…