Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

nko na RB hapa, nimeivusha toka nyumba ya jirani. mniombee
 
Teh teh.. Unaweza kuandika 1 hadi 10 kwa kiuno wewe??

Hahahahaaa umenifanya nifanye hilo zoezi la kuandika 1 hadi 10 kwa kiuno na nimeweza.

Bado kuandika nikiwa juu ya mtu hehehehehe naona atashangaa halafu atacheka halafu atanikumbatia kwa furaha.

Hii style sijui GuDume amesha kutana nayo...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…