I'm on my way diakaribu
Same to me mamie,open the door im outside
Hahahaaa yani umentoa kwetu tandale mpk obey then hufungui mlango[emoji134][emoji134]akuu sifungui,lol
Hongera mkuuMimi kulala mpaka nipigiwe na simu na habityy ndio nilale
Hahahaaa yani umentoa kwetu tandale mpk obey then hufungui mlango[emoji134][emoji134]
Hahahaaa lazma nirudi mpk nipate tunda la uzimahahahaha huo ndio uanaume sasa,unarudi halafu cha kushangaza utakuja tena siku nyingine,lol..
hahaaaNabet saa hizi mechi za wakubwa maana najua timu nyingi zipo uwanjani maana baridi limeongezeka.
unawaza marejesho ya mkopo nini " usikute uliweka nyumba rehani" ... Aisee kama ndio iko hivyo usingizi lazima ukutorokeUkosefu wa usingizi mwilini ndo tatizo langu