Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

Nasikiliza nyimbo za kuabudu zinaingia moyoni weachatuu
 
Hahahaaa yani umentoa kwetu tandale mpk obey then hufungui mlango[emoji134][emoji134]

hahahaha huo ndio uanaume sasa,unarudi halafu cha kushangaza utakuja tena siku nyingine,lol..
 
Ukosefu wa usingizi mwilini ndo tatizo langu
unawaza marejesho ya mkopo nini " usikute uliweka nyumba rehani" ... Aisee kama ndio iko hivyo usingizi lazima ukutoroke
 
Back
Top Bottom