Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

Hahahahaaa umenifanya nifanye hilo zoezi la kuandika 1 hadi 10 kwa kiuno na nimeweza.

Bado kuandika nikiwa juu ya mtu hehehehehe naona atashangaa halafu atacheka halafu atanikumbatia kwa furaha.

Hii style sijui GuDume amesha kutana nayo...??
[emoji87] [emoji87]
 
Usingizi leo upo likizo, mwenye nyumba anapiga hodi kuanzia Asubuhi mpaka saa hizi usiku wazee wa viwango (Sitta)
 
Hahahahaaa umenifanya nifanye hilo zoezi la kuandika 1 hadi 10 kwa kiuno na nimeweza.

Bado kuandika nikiwa juu ya mtu hehehehehe naona atashangaa halafu atacheka halafu atanikumbatia kwa furaha.

Hii style sijui GuDume amesha kutana nayo...??
Teh teh.. Kasie una uchizi mwingi.. Kama nakuona unavyoyakata.. Imekuchukua muda gani?
 
Hahahahahahhaa haijafika dakika moja ni sekunde 20 hivi heheheheheheee na hapo nimefanya mwenyewe, nikiwa juu ya mtu nahisi itakuwa chini ya hapo hehehehehehe

Hili zoezi ntakuwa nalifanya kila nikioga asubuhi na jioni ili siku ya siku na perform tuu juu ya jukwaa hehehehehe.
 
Teh teh.. Uko vizuri aisee .. Unawatoa watu mate ujue ..Ngoja wakulie kiapo
 
Aahahahahaaa nimezeeka siku hizi, hizi fujo nalifanya kwa vacation partner wangu tuu.

Kiapo tena..!!?? Wataambulia majivu tuu moto anaota dadiiiiii hehehee.
 
Leo nimechepuka na jiran yangu tupo tunasubir muda wa wanga tugusanishe vitovu vyetu.
 
Back
Top Bottom