Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi.
Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu.
Tusipokwenda kuishangilia Simba kesho basi tumewaangusha wachezaji.
Wachezaji wanahitaj sana sapoti yetu ili kufuzu kesho.
Kesho mechi ni ngumu lkn kwa uwezo wa allah tunakwenda group stage
Yanga wameona mechi yao haina mvuto wakienda kucheza pale kwa Mkapa watu hawatajaa na brand itashuka.
Wao wana mechi żao za kucheza pale kwa Mkapa, hawana uwezo wa kujaza full house gemu vs CBE
Pia wanaamini wameshafuzu kwahiyo kwa Mkapa ingekuwa uchi tu
Sasa sisi Simba hizi ndio kazi zetu, kesho ni do or die lazima tumkaange mwarabu bila huruma
Ewę mwanasimba mwenzangu Kama unasoma post hii twendeni tukamsapoti Yussuf Kagoma
Twendeni tukamsapoti Mussa Camara, twendeni tukamuone Fernandez akizunguka duara la juu pale
Itakuwa makosa makubwa sana kuacha kwenda kumuona Leonel Ateba.
Hamza na Che Malone wako ones ha utulivu wa hali ya juu mbele ya Mabululu
Simba inatuhitaji sana sisi Kama mchezaji wa 13 ili tukamalize kazi
Tusipofuzu kesho ndugu zangu mjini hakutakalika na Simba itaathirika sana na mwisho Yanga watatupiku kwenye orodha ya vilabu 10