Kama Wewe ni Mwana Simba Sports Club 'Mwenzangu' na 'unajiuliza' nini 'Kimeitokea' Timu yetu na sasa 'inafungwa' mfululizo haya ndiyo majibu

Ili Simba tusonge mbele tungeondoa hawa waswahili kwenye uongozi wa club, Simba haishindwi kuajiri kocha msaidizi na kocha wa makipa wazuri kutoka nje. Hawa kina Matola watamfanyia majungu kila kocha atayekuja kwa maslahi yao binafsi.

Manula amekuwa akiigharimu timu point kila mara kwa kurepeat the same mistakes, sasa majungu kwa Kakolanya yanatoka wapi? Mimi sioni mchangowa maana wa kina Matola hapo Simba, hizi kazi wenzao wamesomea na wamekaa darasani hawawezi kubali kupelekeshwa pelekeshwa kiswahili swahili.

Nashauri hawa kina Matola wapewe timu ya vijana huko kuna wafaa zaidi maana kuna kipindi alitutengenezea timu nzuri sana ya vijana tukatoka droo ya tatu tatu na Yanga ambao walikuwa wakiongoza tatu bila kipindi cha kwanza, kwenye senior timu hakuwafai kabisa watatuharbia club.
 
Leo hii Naomba sana Mwadui msiniangushe kabisa. Wafungeni tena Simbamaana timu imekaa kisiasa sana. Watu wanaitumia Simba kujibrand wao
 
Nadhani tatizo la Simba ni technical, siyo logistical.
I mean lipo zaidi kwenye pitch (both katika training sessions & matchdays).
Yule kwashakoo si kocha kabisa yule!
 
Nadhani tatizo la Simba ni technical, siyo logistical.
I mean lipo zaidi kwenye pitch (both katika training sessions & matchdays).
Yule kwashakoo si kocha kabisa yule!
Kwani hizo 5 za jana vp?.
 
Nadhani tatizo la Simba ni technical, siyo logistical.
I mean lipo zaidi kwenye pitch (both katika training sessions & matchdays).
Yule kwashakoo si kocha kabisa yule!
Nakubaliana nawe hundred percent
 
wachezaj hawaelewan na kocha wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…