Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

wapo wenye tabia njema na wengine pasua kichwa pia sio kila anae kwambia nioe basi anafaa kuolewa,kwa sababu wanawake wa pwani wanajua sana kuitafta ndoa na hawana complication hata wazazi wao ni hivyo wanaamini ndoa ni baraka,nayasema haya kwa sababu mimi ni mtu wa bara na naishi nao
 
Pwani wameathiriwa na Mila zao na dini kwamba mtoto wa kike anaanza kufundishwa ktmbna akibalehe tu yaani kuhudumia mwanaume wa aina yoyote ,hivyo wanajikuta ndoa ni kitu kidogo sana kwao jambo lingine mahali anayotolewa mwanamke ni ndogo sana yaani elfu hamsini ,lako moja,lakimbili,hivyo hata mkigongana tu anasema 'hivi wewe wewe umenitolea mahali shilingi ngapi"jambo jingine mafundisho ya hao makungwi ni hatari kwa afya ya ndoa kwa mfano wasichana wa Pwani wanaamini hakuna km ya mtu mmoja yaani lazima uwe na mafiga matatu,mmoja wa vocha,mwingine wa delaaaa,mwingine wa kwenye Ngoma.

Lakini pia malezi ya jumla ya wazazi wa Pwani ni mabaya sana yaani wao mtoto wanajua akishakula ugali basi malezi mengine hawajui watoto wa kike kurudi nyumbani saa nne usiku sio tatizo,kulala kwenye vigodoro sio tatizo,kuleta boyfriend ndani kwa mama au kwa baba sio tatizo hivyo jamii yote ya mikoa yenye huo ukanda wa bahari tabia zao zote zinaendana kwa hapa Dar es Salaam angalia temeke ,mbagala, kigamboni, geuka upande wa pili bagamoyo,kisarawe kwa mzee wa nyungu,mkuranga,kibiti,rufiji,tanga,mtwara,tunduru,mafia.

Ukioa hayo maeneo vituko vyake sio mchezo suala la maendeleo utalisikia ulaya.
 
Dah pole
 
😃😃
 
Kweli kabisa
 
Hayanaga formula haya mzee.

Ila tofautisha wanawake wa pwani na wenye tabia za kiswazi.

Wapo naona wameoa watoto wa kipwani wanakula burudani!!

Kwa imani yangu
1.dini
2.nasaba(ukoo)
3.uzuri
4.mali


Kifupi ukitaka kuenda kuoa mahali uwe makini mnooo, hili ni somo pana kidogo.
 
Kweli...ila tabia ya mtu sometimes inadepend na alipokulia.

Nilikuwaga na mmoja kwao mbagala sasa nilimtia sound, actually haikuwa sound kweli angebehave kweli ningemnunulia simu ya ios tena nzuri tu sasa siku alotaka hiyo kitu nilikuwa nimekwama kidogo mipango imeingiliana, nikamwambia hakuelewa akawa anapiga simu kama chiz sikupokea, daah jion nimerud kutoka job nimetulia ndani kaja kijambazi hajasema wala nini kapush mlango kazama ndani kanirukia kaning'ata alafu kaanza kulia na mineno mingi sana. Nikamtuliza kama fala alivyosepa baadae nikamwambia usije kukanyaga home kwangu tulia mbagala kwenu na mashetani yenu ya kiswazi, na pale home nikamwambia jamaa anaeshinda getini huyu asije huku ndani me simjui..TABIA MBOVU KABISA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…