Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Tabia kama huko tu mixer ila shamba bado bado hawajamix tabia[emoji848]Wengi wao hasa hawa wa uswahilini...Wa Zenji wapoje rafiki[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia kama huko tu mixer ila shamba bado bado hawajamix tabia[emoji848]Wengi wao hasa hawa wa uswahilini...Wa Zenji wapoje rafiki[emoji38][emoji38]
Kumbuka kuvaa barakoa. Acha kuruka ruka ovyo mitaaniSisi huku tunawaita wote wa Pwani tu.Japo madai yako yana ukweli.
Kwamba ni ukanda wa pwani yote?!
Mbona wapo kama wa bara tu
[emoji38][emoji38][emoji38]haujakoseaBara na pwani mbona tofauti au unaizungumzia morogoro [emoji4]
Dah poleAisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie.
Mara ya mwisho nilimuona kituko baada ya kuzinguana nae njiani akaanza kuokota mawe na kunirushia alafu watu kibao. Daah nilisikia aibu sana ila nikasepa kimya kimya.
Acha sasa hivi nitulie nimtafute manka ambae kashapigika na maisha ndio nivute ndani ingawa ndugu wasiojua historia yetu wananishawishi sana nirudiane nae maana wananiona kama umri unasonga na bado nipo single
wee jichanganye tu ile kwakoBora umenifungua....watu wa pwani wanidatisha sana!
😃😃Aisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie.
Mara ya mwisho nilimuona kituko baada ya kuzinguana nae njiani akaanza kuokota mawe na kunirushia alafu watu kibao. Daah nilisikia aibu sana ila nikasepa kimya kimya.
Acha sasa hivi nitulie nimtafute manka ambae kashapigika na maisha ndio nivute ndani ingawa ndugu wasiojua historia yetu wananishawishi sana nirudiane nae maana wananiona kama umri unasonga na bado nipo single
wee jichanganye tu ile kwako
huo ndio ukweli mkuu..kwanza wao kumpa tunda mtu mwingine differ na mume wake hilo ni jambo dogo sana
Kweli kabisaPwani wameathiriwa na Mila zao na dini kwamba mtoto wa kike anaanza kufundishwa ktmbna akibalehe tu yaani kuhudumia mwanaume wa aina yoyote ,hivyo wanajikuta ndoa ni kitu kidogo sana kwao jambo lingine mahali anayotolewa mwanamke ni ndogo sana yaani elfu hamsini ,lako moja,lakimbili,hivyo hata mkigongana tu anasema 'hivi wewe wewe umenitolea mahali shilingi ngapi"jambo jingine mafundisho ya hao makungwi ni hatari kwa afya ya ndoa kwa mfano wasichana wa Pwani wanaamini hakuna km ya mtu mmoja yaani lazima uwe na mafiga matatu,mmoja wa vocha,mwingine wa delaaaa,mwingine wa kwenye Ngoma.Lakini pia malezi ya jumla ya wazazi wa Pwani ni mabaya sana yaani wao mtoto wanajua akishakula ugali basi malezi mengine hawajui watoto wa kike kurudi nyumbani saa nne usiku sio tatizo,kulala kwenye vigodoro sio tatizo,kuleta boyfriend ndani kwa mama au kwa baba sio tatizo hivyo jamii yote ya mikoa yenye huo ukanda wa bahari tabia zao zote zinaendana kwa hapa dar es salaam angalia temeke ,mbagala,kigamboni,geuka upande wa pili bagamoyo,kisarawe kwa mzee wa nyungu,mkuranga,kibiti,rufiji,tanga,mtwara,tunduru,mafia.Ukioa hayo maeneo vituko vyake sio mchezo suala la maendeleo utalisikia ulaya.
huo ndio ukweli mkuu..kwanza wao kumpa tunda mtu mwingine differ na mume wake hilo ni jambo dogo sana
Pole sana boss...huyo wako alikuwa na changamoto ya aina yake😅😅
Kweli...ila tabia ya mtu sometimes inadepend na alipokulia.