Pwani wameathiriwa na Mila zao na dini kwamba mtoto wa kike anaanza kufundishwa ktmbna akibalehe tu yaani kuhudumia mwanaume wa aina yoyote ,hivyo wanajikuta ndoa ni kitu kidogo sana kwao jambo lingine mahali anayotolewa mwanamke ni ndogo sana yaani elfu hamsini ,lako moja,lakimbili,hivyo hata mkigongana tu anasema 'hivi wewe wewe umenitolea mahali shilingi ngapi"jambo jingine mafundisho ya hao makungwi ni hatari kwa afya ya ndoa kwa mfano wasichana wa Pwani wanaamini hakuna km ya mtu mmoja yaani lazima uwe na mafiga matatu,mmoja wa vocha,mwingine wa delaaaa,mwingine wa kwenye Ngoma.
Lakini pia malezi ya jumla ya wazazi wa Pwani ni mabaya sana yaani wao mtoto wanajua akishakula ugali basi malezi mengine hawajui watoto wa kike kurudi nyumbani saa nne usiku sio tatizo,kulala kwenye vigodoro sio tatizo,kuleta boyfriend ndani kwa mama au kwa baba sio tatizo hivyo jamii yote ya mikoa yenye huo ukanda wa bahari tabia zao zote zinaendana kwa hapa dar es salaam angalia temeke ,mbagala,kigamboni,geuka upande wa pili bagamoyo,kisarawe kwa mzee wa nyungu,mkuranga,kibiti,rufiji,tanga,mtwara,tunduru,mafia.Ukioa hayo maeneo vituko vyake sio mchezo suala la maendeleo utalisikia ulaya.