naoma umerud maana .......Abee
Nini tena?naoma umerud maana .......
😂😂 uyo mla urojo,leo atajisifia sana hapaDaemusin njoo utoe majibu hapa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uyo mla urojo,leo atajisifia sana hapa
Watakuwa nao wana mapungufu yao ila si kama wanawake wao.Vipi kuhusu kuolewa na mwanaume wa Pwani?
sijakuona nkama 2 days!Nini tena?
Nipo mkuusijakuona nkama 2 days!
Huko pia wanaume wanakusema had unazimia, chezea uswahili weyeeeee.Nasikia huko hata mwizi akidakwa wanamsema mpaka anakufa. Sasa hao wanawake wa aina gani kuoa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hatareeeeh sanAisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie.
Mara ya mwisho nilimuona kituko baada ya kuzinguana nae njiani akaanza kuokota mawe na kunirushia alafu watu kibao. Daah nilisikia aibu sana ila nikasepa kimya kimya.
Acha sasa hivi nitulie nimtafute manka ambae kashapigika na maisha ndio nivute ndani ingawa ndugu wasiojua historia yetu wananishawishi sana nirudiane nae maana wananiona kama umri unasonga na bado nipo single
Sisi wanaume wa pwani tunajua udhaifu wao mutuulize kabla yakuoa mtaumbuka,
In short kama wanawake wa pwani wanajua Mapenzi jua kabisa na wanaume wa pwani wanajua zaidi kwaiyo km umridhishi tutakumegea mpk ukome,mwanamke wapwani ata usiwe na 100 mbovu lakini usiku ukimgegeda anavyotaka haaaaaa utapikiwa chakula kitaaaaamuuuuuuuuu