Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

Aisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie.

Mara ya mwisho nilimuona kituko baada ya kuzinguana nae njiani akaanza kuokota mawe na kunirushia alafu watu kibao. Daah nilisikia aibu sana ila nikasepa kimya kimya.

Acha sasa hivi nitulie nimtafute manka ambae kashapigika na maisha ndio nivute ndani ingawa ndugu wasiojua historia yetu wananishawishi sana nirudiane nae maana wananiona kama umri unasonga na bado nipo single
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hatareeeeh san
 
Watu wawili uliowataja hawawezi kuwakilisha watu wote wa pwani utafiti wako haujakamilika ku generalize.
 
Mkuu tittle yako inatosha kutoa ujumbe kwa walengwa, nilipofika maeneo hayo kwa Mara ya Kwanza nirifkiri nina gundu, Kila mwanamke niliyekutana naye anaongea zaidi ya kasuku kiukweli nilinyong'onyea kwa kipindi kile lakini baada ya kuuliza wenyeji wakadai hiyo ni aina ya wanawake wa pwani, much respect mkuu kwa ujumbe
 
Hahaha mkuu waombe ushauri kwa wenyeji,huku tunajuana ye anaenda mkole sisi jando.hawa wa mikoani hata kampeni ya toa mkono wa sweta imeanza miaka ya juzi unategemea nn?wengi wameanza mapenzi chuo inshort ngono ndo ndoa ya pwani hawajui bupa hawa
Sisi wanaume wa pwani tunajua udhaifu wao mutuulize kabla yakuoa mtaumbuka,
In short kama wanawake wa pwani wanajua Mapenzi jua kabisa na wanaume wa pwani wanajua zaidi kwaiyo km umridhishi tutakumegea mpk ukome,mwanamke wapwani ata usiwe na 100 mbovu lakini usiku ukimgegeda anavyotaka haaaaaa utapikiwa chakula kitaaaaamuuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine ni wapole ila ni hatari kuliko sumu ya panya huwa tunagawana majengo kimya kimya


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom