Kama wewe ni mwanaume wa Dar,usisumbuke pm,

Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar

Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako

Asante
Sawa.
 
Kwani una kazi gani nao mpaka uanze kuwabagua kaka zetu.?
 
Hahaha!!

Mwalimu wa Kiswahili ulikuwa unamuelewa sana. Hili tangazo lazima shilingi iipiku dola
 
Mtoa mada unamaanisha unagawa kwa sisi wa mkoani wa dAr unawanyima?
62530666_324099421838092_2536194921480585216_n.jpeg
 
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar

Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako

Asante
Wew unaish wapi kwanza tuanzie hpo
 
Nadhan ndo hulka ya binadamu ya kujaribu.Waweza kuta kifaa si mchezo.Au kama Sura ya Bibi basi msambwandaaaaa
Hawa ambao tunawatongoza huku tukiwaona baadae huwa tunawatongoza na mapungufu kibao sijui hawa mnaowafata pm, ila ni kaujasiri balaa
 
😁😁😁😁😁😁😁😁 zamu ya mikoani sasa Hilo kapu kubwa sana
 
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar

Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako

Asante
Me nipo Arusha mama...huku kuna ndizi fresh, magimbi, mayai ya kienyeji, maziwa halisi ya ng'ombe, viazi, mahindi choma yasiyowekwa limao na pili pili...
Huku kazi kazi...Karibu Arusha...[emoji41][emoji41]
 
Mabaharia wa Uvinza huku tunaruhusiwa kuja, ila gharama ni zile zile tu 7,800
 
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar

Kama unakaa Dar,usisumbuke kunipm,hutajibiwa,au hutatimiza lengo lako

Asante
Tumeelewa
 
Back
Top Bottom