Kama wewe ni mwanaume wa Dar,usisumbuke pm,

Sawa.
 
Kwani una kazi gani nao mpaka uanze kuwabagua kaka zetu.?
 
Hahaha!!

Mwalimu wa Kiswahili ulikuwa unamuelewa sana. Hili tangazo lazima shilingi iipiku dola
 
Wew unaish wapi kwanza tuanzie hpo
 
Nadhan ndo hulka ya binadamu ya kujaribu.Waweza kuta kifaa si mchezo.Au kama Sura ya Bibi basi msambwandaaaaa
Hawa ambao tunawatongoza huku tukiwaona baadae huwa tunawatongoza na mapungufu kibao sijui hawa mnaowafata pm, ila ni kaujasiri balaa
 
😁😁😁😁😁😁😁😁 zamu ya mikoani sasa Hilo kapu kubwa sana
 
Me nipo Arusha mama...huku kuna ndizi fresh, magimbi, mayai ya kienyeji, maziwa halisi ya ng'ombe, viazi, mahindi choma yasiyowekwa limao na pili pili...
Huku kazi kazi...Karibu Arusha...[emoji41][emoji41]
 
Mabaharia wa Uvinza huku tunaruhusiwa kuja, ila gharama ni zile zile tu 7,800
 
Tumeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…