Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa...

Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa...

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
Habari mwandishi wa vitabu!

Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau.

Labda nitoe mbinu nyingine ambayo inahitaji moyo wa chuma kufanya kama unahitaji sana kuuza sana ila na kazi yako kusambaa sana, maana waandishi wengi wamekuwa waoga sana kuweka vitabu vyao kwenye app , ni bora niwashauzi hivi labda watajaribu. Kama wewe una sifa ya kuandika sana na unaweza kuandika softcopy ya vitabu vinne vya kwa mwenzi hii mbinu inaweza kukusaidia kubadilisha maisha yako.

Hapa nitaongelea vitabu vya SIMULIZI ZA HADITHI maana ndio kitu watu wengi wanapenda kusoma kuliko vya vitabu vingine, madharani unaandika simulizi za hadithi zenye SERIES hapa ndipo patamu zaidi haina haja ya kuprint vitabu na kusubiria pesa , wewe kazi yako ni kuuza online chaapu bila kujaribu kusambaa.


Fuata hatua zifuatzo kuuza online kwa kutumia WHATSAPP BUSINESS & FACEBOOK ADS, kama hujui namna ya kutumia hizi platform kuuza vitabu vyako uje nikufundishe namna ya kutumia na kuuza sana vitabu vyako kwa mwezi. Kwa mtu mmoja uwa nafundisha 50k, mkiwa 10 inapungua na kuwa 25k; kama una bando la kutosha unaweza ukajifunza kupitia YOUTUBE kuna video za kutosha namna ya ku run facebook ads.

Hatua za kufuata:

1. Tenegeneza facebook page na iweke kibiashara zaidi.

2. Pakua whatsapp business na iweke kibiashara zaidi.

3. Andaa simulizi zako kwa mfumo wa SERIES iwe kwenye format ya PDF na front weka 22 ili iwe rahisi msomaji kusoma vizuri kwenye simu.

4. Tengeneza VISA CARD ya M-PESA na weka sh 3000 kwenye kadi yako kutoka mpesa yako.

5. Unganisha facebook page na whatsapp business ili iwe rahisi mteja kuja whatsapp na kununua simulizi zako.

6. Run ads kwa kuchagua DAR maana ndio wasomaji wengi wa simulizi za hadithi.

7. Chagua aina simu ambayo wateja wangeweza kuona ads , mfano ANDROID LEVEL : LOLLIPO(ANDROID 9), ili kuchuja wateja wenye viswaswadu vye facebook 🙂

8. Kuwa online most of the time kuepuka kuonekana tapeli, pia kuwa active kwenye page yako kujibu wateja wako watarajiwa.

9. Run tangazo muda huu, 9:00 AM/17:00PM/21:00PM , muda huo ndio watu wengi wanatumia facebook, so inakuwa rahisi kuwachota wengi kuona ads .

10: Uza simulizi zako kwa sh 2500($1) kwa season 1, pia kama ndio unaingia sokoni tengeneza pdf mbili moja ya sample yenye page 10 na full stori. Pia unaweza ukaweka OFA ya simulizi kwa kusema, "PATA FULL STORI YENYE SEASON 10 KWA SH 2500. OFA HII MWISHO SAA 23:59PM".

12. Unapo run ads usisahau ku link na whatsapp ili mteja akiclick aje whatsapp chaap. Kwa kila $1 ya tangazo inakupa watu 1k watao ona ads yako. Kwa kila ads target watu 100 ni sawa na 250k. Ukipiga hesabu kwa mwezi unatumia $30 kupata 250k * 30?.


ONYO: HII MBINU NI KWA WAANDISHI WANAO ANDIKA SANA NA KUTOA VITABU VINNE KWA KILA MWEZI.


CALCULATE RISK RATIO BEFORE INVOLVING TO FIGHT AGAINST THE WORLD



ALL THE BEST AUTHOR
 

Attachments

  • FB_IMG_1653924621189[1].jpg
    FB_IMG_1653924621189[1].jpg
    41.7 KB · Views: 43
Hii nzuri mkuu ila vitabu vi nne kwa mwezi labda kuandika Short stories inawezekana ila riwaya sina uhakika sana
 
Back
Top Bottom