tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Naunga mkono hojaKwa mimi hapo nitaanza kuruhusu kwa mtiririko ufuatao
1.Fire rescue-hawa wanaenda kuokoa maisha ya watu wengi na mali zao
2.Ambulance-huyu anaenda kuokoa uhai wa binadamu/mgonjwa mmoja pia ni muhimu
3.Hao wengine waliobaki watakuwa wa mwisho hata wakichelewa hakuna hasara
Kwa mimi hapo nitaanza kuruhusu kwa mtiririko ufuatao
1.Fire rescue-hawa wanaenda kuokoa maisha ya watu wengi na mali zao
2.Ambulance-huyu anaenda kuokoa uhai wa binadamu/mgonjwa mmoja pia ni muhimu
3.Hao wengine waliobaki watakuwa wa mwisho hata wakichelewa hakuna hasara
Morally utakuwa umetenda vyema ila sasa kibarua kitaota mbawa chapNikiwa mimi trafic nairuhusu kwanza ambulance theni fire huyo mla rushwa atakuwa wa mwisho kabisa
Mimi nitafuata misingi ya kazi na utaalamu unavyotaka sitajali nani atafanya niniAfrica unafukuzwa kazi. Miviongozi mingi mipumbavu inapenda sifa na show offs za kijinga. Inataka msafara hata bila sababu za msingi, unaweza kuta hapo mtu anarudi kwake ila kila kitu kimesimama ili yeye apite. Nchi ya kipumbavu sana hii.

Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?
a). Ambulance
b). Gari ya zimamoto
c). Kiongozi wa Serikali
d). Watajipanga wenyewe?
View attachment 3428361
Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka
Chanzo: Mwanachuo got talent
Naruhusu wote. then nakaa zangu pembeni nakunywa kahawa taratiibu.Kwa mimi hapo nitaanza kuruhusu kwa mtiririko ufuatao