Kama Wewe Nikijana Na Unandoto Zakutoboa Pita Na Hii...!!!


Zimejaa tele kila mahali, sio fursa hiyo.
 
Sidhani kama smart watch kwa sasa ni 100,000, nimewanunulia watoto juzi mjini kwenye duka la wahindi kwa shiling 50,000 tu, na hapo nilizunguk maduka kadhaa ya mjini nikakuta bei zinatofautiana kidogo sana

Copy
 
K
Kutoboa pamoja na yote hutegemea kismat
 
Sema wabongo kwa majungu na negativity hatujambo ....watu uzi mzima wameona bei tu as if saa zote zinafanana bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…