Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Nimefanya biasharaa sana hii usiwalishe watu famba hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama smart watch kwa sasa ni 100,000, nimewanunulia watoto juzi mjini kwenye duka la wahindi kwa shiling 50,000 tu, na hapo nilizunguk maduka kadhaa ya mjini nikakuta bei zinatofautiana kidogo sana
Nipo usukumani watu wana iPhone 14 labda ajaribu mtwara vijijiniVijijini wajanja wana smart phone karibia wote na wanajua kuangakia bei ya vitu kwenye mitandao, sio rahisi wadanganyike labda aende usukumani
Ile ya android with removable battery? Nyie hamjawahi jitambuaNipo usukumani watu wana iPhone 14 labda ajaribu mtwara vijijini
Habari wakuu,
Leo nimewaletea mchongo wingine. Nafikiri kila mmoja anafahamu smart watch nini?
Kama haufahamu smart watch nisaa ya mkononi inayotumika kama kisaidizi cha Simu ya mkononi. Hutumika kupiga simu, kuchati online na kawaida, video call n.k
Kwasasa hizi smart watch zina soko sana hapa Tanzania kutokana nakuwarahisishia watumiaji kufanya mambo mengi bila ya simu, pia hutumika kama urembo vijana wengi hupenda kama usharobaro.
Baada yakugundua nidili sana kwa kufanya research hapa Tanzania na ni watu wachache wanaziuza nawauza kwa bei ya juu Sana na mimi kama kawaida yangu nikaingia kwenye masoko ya jumla kutafuta bidhaa hii.
Masoko hayo ya jumla ambayo ni Alibaba na 1688. Nikakuta bidhaa hii inauzwa elfu kumi na mbili za Kitanzania, baada ya kugundua bei hii nakukubaliana na supply wangu. nikaandaa bajeti. Bajeti yangu ilikuwa hivi.
Mtaji ulikuwa milioni moja 1000000/=
Nikanunua smart watch pc50 sawa sawa nashilingi laki sita 600000/= Usafiri toka kwa supply wangu hadi kwa agent wangu ilikuwa dolla 8$ sawasawa nashilingi elfu kumi na tisa za Kitanzania.
Mpaka hapa nikawa nimetumia laki sita nakumi na tisa. Usafiri kutoka China hadi Dar ilikuwa laki moja nilitumia ndege ili mzigo wangu uwahikufika mapema ili nifanye biashara yangu haraka naulifika ndani yasiku saba tu.
Nikaanda pesa ya matangazo online laki moja ili niwafikie wateja kwa urahisi na niweze kufanya biashara haraka.
Nikatenga pesa ya bando 50000/= si mnafahamu tz hapo bando ni bei gali sana, nikatenga laki Moja ya delivery kwa wateja wangu wa mikoani na ndani ya dar.
Ukipiga mahesabu jumla nimetumia laki tisa naelfu sitini na tisa, na makato makato yale nikawa nimetumia laki 9 na elfu themanini kamili. Ukigawanya hiyo pesa kwa pc50 utapata kila smart watch imetumia elfu kumi na tisa na mia sita hadi kunifikia. Nakabakiwa na elfu ishiri yakujipongeza maana naamini katika uwezo Wangu.
Sasa twende kwenye Mauzo. Wakati nafanya research ya hii bidhaa niligundua wauzaji wanauza kwa bei ghali sana hapa tz smart watch moja ilikuwa inauzwa laki na nusu, nikaja na mbinu mbadala.
Nikatangaza nauza laki moja tu kwa kila smart watch na nunua zaidi ya moja atapata punguzo zaidi, basi kwakuwa nililipa pesa ya matangazo online. Kazi yangu ikawa nikupokea simu nakufanya delivery kwa wateja wangu tena kwa uaminifu zaidi.
Basi biashara haikukaa muda mrefu sana ndani ya Wiki mbili tu mzigo wangu wa smart watch pc50 ukawaumeisha na wateja bado wanahitaji kwa wingi.
FAIDA: Nilitumia milioni moja. Nikauza laki moja kila smart watch nikawanimeingiza milioni 4 na laki moja ya bonge lafaida mpaka sikuamini, nikawa nimepata faida ya million 3 nalaki moja looh nilifurahi sana.
Hitimisho: Nimeamua nisiwe mchoyo niwape na nyie hili deal. Kwa wale Wanaohitaji kuagiza mzigo China na haujui uanzie wapi nicheki whatsapp 0788906890 nikupe mwongozo.
View attachment 2620237
Wameshanijibu kwamba wana Iphone 14, labda tujaribu ntwara vijijini😅😅Kumbuka wasukuma watasoma hii comment😂😂
Hapana mkuu nilikua nampa tu ushauri maana huko mpo wengi angeweza akaambulia soko kidogo tofauti na sehemu zingineTumekukosea nini ??? 🙄🙄🙄
Sidhani kama smart watch kwa sasa ni 100,000, nimewanunulia watoto juzi mjini kwenye duka la wahindi kwa shiling 50,000 tu, na hapo nilizunguk maduka kadhaa ya mjini nikakuta bei zinatofautiana kidogo sana
Na rafiki yangu aliniuzia 35k
Zipo smart watch za aina nying na bei tofauti tofauti Dada so chunguz hili utaelewa
Kutoboa pamoja na yote hutegemea kismatHabari wakuu,
Leo nimewaletea mchongo wingine. Nafikiri kila mmoja anafahamu smart watch nini?
Kama haufahamu smart watch nisaa ya mkononi inayotumika kama kisaidizi cha Simu ya mkononi. Hutumika kupiga simu, kuchati online na kawaida, video call n.k
Kwasasa hizi smart watch zina soko sana hapa Tanzania kutokana nakuwarahisishia watumiaji kufanya mambo mengi bila ya simu, pia hutumika kama urembo vijana wengi hupenda kama usharobaro.
Baada yakugundua nidili sana kwa kufanya research hapa Tanzania na ni watu wachache wanaziuza nawauza kwa bei ya juu Sana na mimi kama kawaida yangu nikaingia kwenye masoko ya jumla kutafuta bidhaa hii.
Masoko hayo ya jumla ambayo ni Alibaba na 1688. Nikakuta bidhaa hii inauzwa elfu kumi na mbili za Kitanzania, baada ya kugundua bei hii nakukubaliana na supply wangu. nikaandaa bajeti. Bajeti yangu ilikuwa hivi.
Mtaji ulikuwa milioni moja 1000000/=
Nikanunua smart watch pc50 sawa sawa nashilingi laki sita 600000/= Usafiri toka kwa supply wangu hadi kwa agent wangu ilikuwa dolla 8$ sawasawa nashilingi elfu kumi na tisa za Kitanzania.
Mpaka hapa nikawa nimetumia laki sita nakumi na tisa. Usafiri kutoka China hadi Dar ilikuwa laki moja nilitumia ndege ili mzigo wangu uwahikufika mapema ili nifanye biashara yangu haraka naulifika ndani yasiku saba tu.
Nikaanda pesa ya matangazo online laki moja ili niwafikie wateja kwa urahisi na niweze kufanya biashara haraka.
Nikatenga pesa ya bando 50000/= si mnafahamu tz hapo bando ni bei gali sana, nikatenga laki Moja ya delivery kwa wateja wangu wa mikoani na ndani ya dar.
Ukipiga mahesabu jumla nimetumia laki tisa naelfu sitini na tisa, na makato makato yale nikawa nimetumia laki 9 na elfu themanini kamili. Ukigawanya hiyo pesa kwa pc50 utapata kila smart watch imetumia elfu kumi na tisa na mia sita hadi kunifikia. Nakabakiwa na elfu ishiri yakujipongeza maana naamini katika uwezo Wangu.
Sasa twende kwenye Mauzo. Wakati nafanya research ya hii bidhaa niligundua wauzaji wanauza kwa bei ghali sana hapa tz smart watch moja ilikuwa inauzwa laki na nusu, nikaja na mbinu mbadala.
Nikatangaza nauza laki moja tu kwa kila smart watch na nunua zaidi ya moja atapata punguzo zaidi, basi kwakuwa nililipa pesa ya matangazo online. Kazi yangu ikawa nikupokea simu nakufanya delivery kwa wateja wangu tena kwa uaminifu zaidi.
Basi biashara haikukaa muda mrefu sana ndani ya Wiki mbili tu mzigo wangu wa smart watch pc50 ukawaumeisha na wateja bado wanahitaji kwa wingi.
FAIDA: Nilitumia milioni moja. Nikauza laki moja kila smart watch nikawanimeingiza milioni 4 na laki moja ya bonge lafaida mpaka sikuamini, nikawa nimepata faida ya million 3 nalaki moja looh nilifurahi sana.
Hitimisho: Nimeamua nisiwe mchoyo niwape na nyie hili deal. Kwa wale Wanaohitaji kuagiza mzigo China na haujui uanzie wapi nicheki whatsapp 0788906890 nikupe mwongozo.
View attachment 2620237
Original ipoje acha janja janja ww! 😁😁😁100k tafuta mfugaji umuuzieMnauziwa copy
Original ipoje acha janja janja ww! [emoji16][emoji16][emoji16]100k tafuta mfugaji umuuzie
Daaah yani wew ndy umeelewa peke yako mkuu [emoji106][emoji106][emoji106]Mzee ingia sokoni alibaba ama AliExpress fuatlia ata brand zinatofautiana
Sema wabongo kwa majungu na negativity hatujambo ....watu uzi mzima wameona bei tu as if saa zote zinafanana bei.
Ukinunua wewe inatosha mkuu. Ila kwasasa hapa "HALIFI JITU"
Daaah yani wew ndy umeelewa peke yako mkuu [emoji106][emoji106][emoji106]