Mawingu Walikuja Na Neno "Fursa" Kiingilio LakiniMafunzo ya kutengeneza sabuni na dawa za choon
Aisee..Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo na mitaji, ili wajiajiri katika sekta mbalimbali, ikiwamo ufugaji wa samaki wa vizimba.
Nipashe
Walivyo wajinga watataka uwe na kadi ya CCMTupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa.