Kama wewe upo kwenye makundi haya halafu unakidharau na kukikashifu CCM tarajia laana kukuandama katika maisha yako

Ha
Hapa point ya maana zaidi yenye mashiko Ni hii namba tano, zingine zote zilizobakia Ni siasa tu na ukereketwa wa uanachama mzee
 
Kwani katiba imebadilika toka hiyo 95, ngoja siku watu waingie barabarani, au mapinduzi ya kijeshi sio utajua hamkuwa na watu.
Ujinga wanayofanya sasa hivi ni kuwaonjesha wanadola utamu wa madaraka ya kisiasa! Sasa watakposhindwa kukidhi matakwa Yao! Waone watakachowafanya
 
Maana yake kusiwepo na vyama vya upinzani wala mawazo mapya. Hii akili ya wapi isiyotambua mawazo kinzani?
Halafu Kwa nini waliruhusu mfumo wa vyama vingi?! Na kazi ya upinzani Kwa chama tawala ni nzuri maana inakikosoa kikae kwenye mstari
 
Halafu Kwa nini waliruhusu mfumo wa vyama vingi?! Na kazi ya upinzani Kwa chama tawala ni nzuri maana inakikosoa kikae kwenye mstari
Havikosei wala hawaji na mbinu mbadala zaidi ya matusi na kejeli
 
🚮🚮🚮
Sisiemu ina hazina kubwa ya viazi
 
Kweli kabisa teache kutukanana tuje na hoja zenye mashiko tujenge nchi yetu siyo kila siku matusi tu
 
Havikosei wala hawaji na mbinu mbadala zaidi ya matusi na kejeli
Upewe mbinu mdala ili uipore ujifanye ndio ajenda yako? Mfano elimu bure si mlirukia treni kwa mbele, na bado mnaboronga kwenye utekelezaji. Ni wapi mliwahi kukiri hadharani kuwa hiyo mbinu mbadala toka upinzani.
 
Ndugu yangu kwani hoja nikuibiana mbinu na kujimilikisha au hoja ni maendeleo kwa watanzania?mbona wapinzani walituibia mzee wetu ngombale mmoja wa waasisi wa chama na hatujawahi kulalamika?mbona hawajawahi kukiri kuwa walituibia mzee wetu ambaye alikuwa ni hazina kubwa?
 
We kweli ni hamnazo ,kwahiyo kama ulisomeshwa na CCM ndio iwe tiketi ya kukubali maujinga yao
 
hakuna elimu ya bure umbwa wewe watanzania wanasoma kwa kodi zao sema majizi CCM mnakwiba kodi za watanzani ina maana mnashoshovya majangilli nyie
 
Jamaa huna akili hadi keshokutwa.
 
Kazi ya Kodi wanazolipa wananchi wa Tanzania ni nini?

Unafahamu Kuna mataifa ambayo elimu ni Bure msingi mpaka chuo kikuu, tena elimu Bora kabisa.

Unafahamu kuna nchi huduma za Afya ni Bure kabisa, tena first class kabisa.
hata \ama za JK Nyerere...
 
Wezi wasipotubu wasitegemee shukrani yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…